KUHUSU KU-FRUSTRATE WATU.........

 I have to speak about this or else nitaumwa.Ni hivi,i simkatazi mtu kuwa against  mtu humu lakini lets respect each other....Weka tu opinions zako lakini ukiona mtu anakasirika punguza makali kidogo.Watu wengine wana mioyo midogo jamani mtanifukuzia watu kijiweni mwangu duuh.Mara mia uni attack mimi ( sababu I do not break easily especially kwa opinion ya anonymous)kuliko kuwa attack readers wangu.Kwanza ukini attack mimi un necessarily, i just will not publish the comment unless you criticize ksensibly sio mtu um frustrate mwenzko just because hakujui.Mmemshambulia mtoto wa watu wee hadi kaboreka its just not fair,English is not our mother tongue,its a second language to all

To my readers:
 Naomba muwaelewe tu hawa confused people maana kuna watu wengine wana ma stress yao huko wanakoishi and they hunted a place ya kuya release weeeeeee wamekosa,so they finally resorted to my blog.So please take it easy..Kuwa kauzu tusisi hatuna habari nao.....

6 comments:

  1. Big time hypocrite!!!.Mnafki mkubwa wewe.Ni nani anaeweza kuzibana hizo comments kama sio wewe.Mbona basi usi delete ukiona mtu amekuwa attacked sana unaendelea kuziacha tu watu waendelea kusoma na watu wanavozidi kumu attack mtu unazidi kuziweka.Wewe ndio mbaya hapa.Una roho ngumu sana wewe,uyo model unaedai ni rafiki yako kwanini usingekuwa ume filter comments ambazo zimemsema vibay.unadhani atajisikia vizuri huko alipo.Dada alocia usimpe picha zako tena siku nyingine rafiki mnafki anakuonea wivu ndo mana anaacha usemwe na watu m baya sana huyu mtoto.Tena ukikutana nae mpe na mpe na mashuti kabisa.Hata ukii delete hii comment i dont care as long as u have read it na ujumbe umeupata.Mnafki wwe

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. ANONY NO 1 ACHA UCHONGANISHI

    ReplyDelete
  4. I just went through your blog today. I am not much of a blogger myself but i commend you for the effort. I'm sure you know what it is your trying to achieve and I pray it works out for you. Just a word of advice. I think you should get a moderator on your blog and be specific on the topics you want to cover. In anything you do there will be people that will applaud you and ones that will criticise you, I don't think you should leave room for the negativity, make it a positive blog and be specific on certain topics. So that your readers know "if you want to read about fashion, or clubs etc then go to final resort" i think the aim was to get people of all generations to visit your blog and not just your friends. In that case customise it to suit all people and eliminate the other dirt. Don't try to copy other bloggers i think your passion is enough, let people see YOU. All the best

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. the anony no.2 is right. watu wengine wanakuja kubishana upuuzi wao tu in here. try be specific with the blog maana it seems u have many haters wanaofukuza watu in here, have just visited ur blog but i am already tired na vipondo vya watu

    ReplyDelete