JOKATE AFUNGUKAA BAADA YA DIAMOND KUKIRI KUMUUMIZA...............

                                              Diamond na Jokate enzi za mapenzi yao


Hivi karibuni mwanamziki Diamond  Platinumz alifunguka  kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, kilichorushwa wiki iliyopita  kuwa Jokate ndiye msichana katika maisha yake aliyemkosea sana na anajuta kumuumiza.

Akiongelea jinsi alivyomuumiza Jokate, Diamond alisema, “Kwasababu alikuwa too innocent halafu hakuwahi kunikosea kitu chochote Jokate kabisa, halafu nikamwingiza kwenye matatizo, watu wakamchukulia tofauti kwamba ‘Jokate kamchukulia Wema boyfriend wake’ wakati nilimfuata mimi kama mimi, nilimtafuta mwenyewe halafu then nikawa niko naye halafu ghafla nikarudisha mahusiano kwa Wema. Sikujiskia vizuri halafu still haikuwa vizuri so sometimes nikikaaga hivi nasema nilimkosea.”

Alipoulizwa kwanini alimuacha Jokate, Diamond alisema, “Sijui nilirogwa hata sijui, I don’t know, sijui hata kwanini, hakuwahi kunikosea chochote sio, sababu nilikuwa nikikaa naye alikuwa akinishauri vitu vingi vya maendeleo, sijui ulikuwa ni utoto sielewi yaani, sijui ni kitu gani, nilijikisa vibaya sana, halafu mtoto wa watu mstaarabu sana, alijitahidi kujenga career yake sasa hivi imekaa vizuri.”

 Jokate kwa upande wake nae aliamua kufunguka baada ya Diamond na kusema anafurahi kuona Diamond amefunguka ukweli.

“Watu wengi hawajui the real issue, I’m glad kama ame-acknowledge I was innocent in that whole matter,” amesema Jokate

6 comments:

  1. Kulikuwa hakuna haja ya yeye kusema alimwcha jokate akamrudia wema na akamuumiza ,anatfta kujikweza on the expense of jokate.Angesema tumeachana basi inatosha story ya nani kamwcha nani ingebaki siri yao.Kamshusha jojo saaaana ukizingatia class ya Diamond na jokate hazifanani

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Jokate si alikuw anajidai kukataa had alilia redion kwnye interview akasem anasingiziw hatoki nae.Malaya wa chinchini kaliwa na mwana fa na AY huku marafk ndo mana akaimbiwa wimbo wa bado nipo nipo sana.Jokate stop pushng it so hard to get hashim thabeet back trust me he'll nevr touch u again hali mizoga ya mbagala yule

    ReplyDelete
  4. huyo jokate si alikataa kama kam date Diamond...upuuzi mtupi....awe tu kama wema be who you are unajiweka ngozi ya kobe kumbe we mbwamwitu wapiiiiii....

    ReplyDelete
  5. Me siwafgilii wote sio wema, kidoti wala diamond ila I used to thnk kidoti ana kajiclass flani hivi looh alivotoka na diamnd me hoi. Ile hadhi Yale imeshuka mbaya zaidi kaachw yye inaonekana kama sio diamond kumpa. Kibuti alikuwa ready hata kuolewa nae.hehehehehe kwenu oystrby ukweni mbagala inahuu

    ReplyDelete
  6. Jokate mzuri sana

    ReplyDelete