GOD BLESS TANZANIA!



Tunalalamika kila siku Tanzania yetu haiendelei kutafuta sababu wakati sababu ziko wazi na tunapishana nazo kila siku za maisha yetu.Baba wa taifa Mwl. J.k.Nyerere aliwahi ku point out maadui matatu wa maendeleo ikiwemo UJINGA,Maradhi na Umaskini. Nitazungumzia,hili la UJINGa zaidi.Ujinga ni msamiati unaojumuisha ufinyu wa mawazo,upeo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo.
There are millions of indicators of illiteracy in Tanzania,but today I would like to speak about this one here:
 

Each of us has once or more came across three or more of these kinds of post around.What’s  sad about it is that the city council/governments has not even considered(leave alone putting into action) banning these kinds of practices..How is it that people are putting such kinds of adverts freely like that?Will we really be able to move on if we still let these kinds of bullshits hold us back?I tried to interview on of the officer in the local government around where I live and this was the answer I got.
‘Kwamba serikali yetu ni serikali huru na si ya kidini na haifungamani na imani yoyote,kwamba watu wake wako huru ku practice imani ya aina yoyote ile’.
Well and good answer,but if that’s the case why isn’t it made a legal business then so that they have to go through  procedures that other formal businesses do.Biashara za aina hii huwa zinatengeneza mamilioni ya pesa hivi why shouldn’t they be taxed like other businesses?.Tena wawe required to acquire a business licence kama wengine pia.Na haya matangazo wanayoyaweka kwa nini wasiwe charged instead of free riding? Manake wanatuchafulia mji na kutushushia reputation bureee.I think its about time mtu awatolee uvivu.

That’s my opinion I STAND TO BE CORRECTED!
NB:Msije kuitumia hiyo namba kwa mambo yenu ha ha ha





5 comments:

  1. IS IT U WHO WROTE THIS OR SOMDY DID IT FOR U.DOESNT SOUND LIKE U AS FAR AS I KNOW U.KUMBE UNAKUWAGA SERIOUS EH

    ReplyDelete
    Replies
    1. catherine yvonne9 April 2013 at 09:05

      I've always been when necessary.Only u were too slow to notice love

      Delete
  2. bonnies mother(original witch)6 April 2013 at 09:04

    We can never be banned,due to the fact that they all come to us from the doctors,politicians,police and so on.We have sorted every problem in Africa except inflation and global warming h ahahahahaa

    ReplyDelete
  3. Haya bwana na shule ungekua unapenda kutoa mada za maana hvyo,shule ingekukoma.

    ReplyDelete
  4. sijajua kwa waganga wa kienyeji wa kutumia tunguli,ila kwa wale wa tiba za asili(Herbalist) tayari serikali imesema wajisajili na zoezi linaedelea watambulike rasmi.Tunakoelekea nadhani hata hao wa tunguli watageukiwa pia

    ReplyDelete