IS IT RIGHT FOR A MAN TO ASK A WOMAN FOR MONEY?
So today i was talking to my friend over the phone.Akawa ananipa story kuhusu boyfriend wake.walianza relationship vizuuuri tu lakini sasa mambo yamekuwa mambo.Mara ya kwanza ilianza kuna siku they went out,the guy kwa bahati mbaya alikuwa amesahau hela nyumbani so my friend had to pay the bill.Loh mtu si ndo akachukulia advantage.akamwona ana hela za mchezo cijui.siku hizi he calls her and with no shame anamwomba waende out but on her cost.yani anamwomba na hela hadi ya kununulia nguo as if he recently walks naked.Anaomba hadi ya kununua viatu as if he walks barefoot now.mbaya zaidi hadi wakitoka out the guy asks my friend to fuel his car.at one time my friend alimwambia she left her atm card at home but the guy insisted he takes her back home to get the card.Really???is it not supposed to be the opposite way?.yap a guy can ask when he is really broke that it even shows on his pale face.but frequent cases kama his?i am sorry i cant stand hata awe kanioa.i wont even care how many offsprings we have mwanaume anapenda vya bure that much..,no woman wants that.Aisee mimi sio golddigger but yes i do not expect mwanaume aniombe hela na haijatokeaga bado aiseee nitaumwa siku hiyo.On the other side am a giving kind of a person,sina mkono wa birika heheheheee,so to a man who is there for me when i need something,he really should expect me to be there when he needs something
My girls,dont u ever feel insecured and have a low self esteem enough to daily cash your man to keep him by your side. if u ever meet such a man yani ujue kama ni barabarani basi taa nyekundu zishawaka,.STOP!!! he is definetely using you.It is a man that should provide to his woman never heard otherwise even the bible and quran say that....................."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Honestly speaking it depends on such people some of the boys wanaweza wakawa wanafanya hivyo intentionally ili wajue kama that girl has a true love or she is after man's money in terms of cost sharing, lakini kama huyu amezoea so, he is doing it as it's right but it's not bad for lovers to share costs sometimes. To me I prefer to pay for my love and not otherwise.
ReplyDeleteHii blog ni kwa watu wa jamii fulani ? au ni kwa watu wa aina zote ? kama ni kwa watu wa aina zote sio lazima utukane jamani, kila mtu anajua matusi, so keep it to your self, because thats bullshit, unamuharibia mwenzako, au labda hilo ndio lengo lako, kama watu wa heshima zao wakitembelea baadhi na kuona comment za aina hizo hawatofikiria kuitembelea tena. Acheni ushamba jamani, matusi sio ujanja.
ReplyDeleteGood, very nice, no need of abusing
Delete1.je blogger alipitia hiyo comment kabla ya ku i submit?
ReplyDelete2.alichukua hatua gani kuhusu hiyo comment?kwanini asingei delete akaamua kui publish?
3.je alifanya research ya blog zinazoachia vitu kama hivyo?hakugundua ni cheap blogs na za mashenzini?
4.last,unapaswa kujua kuwa wengi tunaoingia humu ni holders wa bachelors,masters na cpa so make it kisomi somi kama unavyoelezea story zako.do the same to when it comes to publishing comments.afu we anony namba moja kwenda udaku blogs ndo ukaandike ujinga huo.this is not the place for you.huku wasomi tu.wajinga wajinga are highly prohibited.think twice before you drop your comment to public attention.shenzy we.
Sawa sawa, BOYA kabisa wewe anony no.1,pumbaf..
ReplyDeleteheeeeeeeeeeee,
ReplyDeleteI don't support that kiukweli...!!
ReplyDeleteONYO KALI: acha kutumia computer za kazini ku i feed blog yako.kwani huna laptop?kwanini usinunue kama huna.?ukiendelea hivyo nitaku report kwa line manager hakyanani.unanikera sana.
ReplyDeletejamani naona admin wa hii blog ameitoa ile comment ya matusi iliyokuwa ya kwanza kabisa pale kabla ya comment ya bwana +Alphonce Chacha kwa hiyo sio ile comment ya yule anonymous anayefuata baada ya +Alphonce Chacha ........nadhani ni mapungufu ya kibinadam tu kwa hiyo kwa niaba ya bloger samahani kwa yeyote aliyekwazika au kupata usumbufu kwa namna yeyote ile kutokana na ile comment
ReplyDeleteni wewe mwenyewe umeji comentia hapo katty.umegundua ulifanya vibaya kuweka koment ya yule mwendawazimu sasa unaona aibu kuomba msamaha wazi wazi ndo umeamua kuomba msamaha kijanja.umehisi tutakukimbia.unaturubuni ili tusije kuku nyanyapaa na blog yako
ReplyDeleteDear Admin, please try to avoid those non sense comments to appear on your blog. Cause what we wish is finalresorttz to be a place for intelligent arguments and exchanging matured ideas relating to daily life and not such stupid comments of illiterate net surfers..... keep it in touch dear Cathy.
ReplyDeleteand u actually think mimi ni illiterate?do you know my background?alphonce i am at one of the very reputable universities in tanzania which does not produce bogus heads.kama koment inaonekana kaji comentia mwenywe tusiseme ukweli.ye mwenyewe si kasema mtu unaruhusiwa kuanguka tu humu ndani.we are not limited to speak our thoughts,as long as hatutukani..all the time you are spending here,u would be reading the 60th page of the encyclopedia kama ungekuwa msongo sana.au ungejitolea kuwafundisha upya mazuzu walofeli form 4 juzi kama ungekuwa na uchungu na ma illiterate wa tz hii.give me a break,
ReplyDeletekweli freedom of speech, u can shout out anything you wish to.. kwani wewe ndiyo uliandika that stupidity comment? And did I mentioned u as one of those illiterate? I think you should use that knowledge u have acquired in that reputable university in reasoning my dear. Peace and Love
ReplyDeleteeishhh..work on ur english nigga
ReplyDeleteRebellion against your handicaps gets
ReplyDeleteyou nowhere. Self- pity gets you
nowhere. One must have the
adventurous daring to accept oneself
as a bundle of possibilities and
undertake the most interesting game
in the world - making the most of
one's best .
heheheeh mbona malumbano, u r ol out of topic jaman mbna hamtoi mawazo yenu khsu men who ask their gals for money, kwakwel me ntavumilia mara za kwanza lkn akiendelea akafie mbali, golddigger me mama ake!
ReplyDeletemwanume suruali huyo..tuupa kule!
ReplyDeleteaisee ndonimeingia leo kwenye hichi kigenge.kumbe nilikuwa nakosa uhondo aisee.Blog kama hizi ndo napendaga.We chacha asilimia tisini ya humu tumesoma sio peke yako so shut it.Aweke hizo intelligent arguments lakini tunahitaji kucheka zaidi watu tunatoka kufanya mi accounts kazini na mi stress yetu tukija huku hatutaki kuumiza vichwa tena.Tunataka kukenua kama we msongo sana Tanganyika library si unaijua ilipo lakini
ReplyDeletedeloitte kama hicho ndo unachokitafuta magazeti ya kiu na ijumaa na wewe si unajua yalipo lakini
ReplyDeletedeloitte ina maana unachomaanisha hii blog ni ya vichekesho...
ReplyDeletedelloite ur in a wrong place at the right time... umevamia in short
ReplyDeletehahahaaa hebu na nyie mwacheni Delloite....shiiishiii wote kila mtu ana andika anachojiskia as long as hatumii abusive word au sio mama blogger afu hebu update basi hii blog yako maana story hakuna watu tunataka kila siku tukiingia tunakuta new topic ndo raha yenyewe hiyo...haloooooooooooooooooooo
ReplyDelete