A TRUE MODEL IN THE MAKING..


                   
My friend Aloycia is one of the best up coming models in bongo.speaking of modelling,millen magese is a joke comparing to her,She is the real deal..she is conquering the industry so soo fast..sijui ni kwasababu na shule ipo pia lol.Happen to need a model someday, and u truly think you can sit on the table and negotiate with her,usihangaike we nitafute mimi tu.Ila ukipitia kwangu hata charges zinabadilika anazishusha tu.chezea ushoga wewe....


                                                         kitu campbell,kitu Naomi
                                                       yellow rocks eh....
                                                       beauty and brains...hapana chezeya
                                                       u ll go places girl
                                                       going to church?this is it
                                                       bongo ka mamtoni fulu utupu
                                                         mapaja anayo pia lol

10 comments:

  1. siku nyingine akituma picha mwambie nyuma a attach na picha ya graduation,certficates za form 4,6 na transcript ndo tumdiscuss

    ReplyDelete
  2. gauni la kwanza ni capital NO.designer wa hilo gauni popote ulipo ujumbe ukufikie hukulitendea haki. .hakuna any sense of creativity kwenye hiyo nguo.magauni ya hivyo hata mwenge yapo mengi.rest of the dresses ziko pouwa.nimependa la tatu na la sita.

    ReplyDelete
  3. Anony no .1 we certificates zako ziko wap? acha uboya wewe, we comment mawazo yako kwa jinsi ulivyoziona hizo pics, kuhusu designs and stuffs like that, mambo ya certificates yanakuhusu nini? bwege nini...

    ReplyDelete
  4. nimekutana na one of ur friends today akawa anaongea na mtu ambaye nilikuwa nae.anakusaga sana.anasema anashangaa unavomtumia messge kwenye simu about ur blog ili aingie kwa manufaa yako.kasema anakuchora na hatakaa aingie humu.tena kasema umemwambia akusaidie kui promote kwa watu lakini aliifuta message yako same day ili hata kwa bahati mbaya asije kuwambia watu.niliumia sana ingawa sinaga urafiki na wewe.i was,and am still at shock.na mimi nikasema kwa uchungu nitakuwa naingia humu asubuhi hadi jioni kukusupport ili aumie uzidi kufika mbali.sipendi watu wanafki jamani

    ReplyDelete
  5. 'mamae zake siwekagi comment humu lakini hii imenigusa.kwani ye asipoipromote ndo itakosa watu tena huyo ndo kanifanya nitakuwa na comment humu.We nae si umpe japo first letter ya jina la huyo mtu apate clue ya kumjua joka wake ili amgonge kunako kichwani akikutana nae.Mimi penda wewe blogger kwa moyo wangu wote,kwa roho yangu yote,na kwa akili zangu zote.Mimi penda wanawake wasomi.Wanawake wasomi wote nyosha kidole juu nichague wa kuoa,nyosha tu hata kama hujaajiriwa

    ReplyDelete
  6. Anony no .4 kama kweli hupendi unafki basi mtaje huyo mtu, kwa maana usipomtaja inaonyesha wazi kabisa kwamba wewe ndo mnafki mwenyewe.

    ReplyDelete
  7. Huyo ni aloycia ngongoti?lmao.cate hivi did u mean it when u said kule kweny post ya nyuma that a quarter of tanzanians got a msg tht started from u or it was what we call 'application of figures of speech?' it sounds soo untrue...

    ReplyDelete
  8. Cjaona unafk wa anon 4 hapo juu.tena kamwonyesh huyo mtu kua hapendi unafki.saf sana anon umemuumbua mchawi.mpaka dakika hii atakua kashakujua we ni nani uloandika hapo juu but who cares?

    ReplyDelete
  9. We anony wa juu hapo ndo mpumbavu kwewli wewe, sisi tutajuaje kama kuna mtu kasema maneno hayo,mnafiki tu, na wewe mwenyewe mnafiki vile vile, wote wanafiki, pumbaaf kabisa

    ReplyDelete
  10. wera wera mie penda sana...dawa ya mnafki ni kumuumbua hahahaaa mie mbea hahahaha but huo ndo ukweli cz it is good to know kinda of ppo ur associate with maana wengine hawafai kabisa kudadadeki...

    ReplyDelete