So napata ma advice kibao jamani ya kuweka topic za ma beef humu na watu naambiwa niweke hizo ndo viewers watakuwa wengi hivi kweli?Nitakuwa mzima kweli kuli dis respect hilo JOHO hapo juu!I am truly sorry my dear readers,fans and friends but i will never do something like that hata iwe nini.Naambiwa niangalie udaku special,sijui mpekuzi sijui sintah blog na ma ujinga mengine kibaoo blog zao zinavyokuwa popular ndio na mimi nikafuate hayo jamani si nitakuwa nimerukwa na akili.I am an independent blogger and independently I will stand.I am not going to try copy another blogger's style, siwezi kuwa desperate na viwers to an extent ya ku copy watu even if it means copying the negatives ili mradi tu nitafute cheap viewers (manake hao watakuwa cheap ones tu).Mimi ni intellectual bwana,I am going to be very judgemental concerning what i post.Kwa mlonambia niweke kuhusu fashion,artists,politics dont worry am working on that ila kwa wale mlio suggest ma topic ya ma beef here are the reasons i am not going to follow your advice:
1)I have a lot of things to do including my job,kuwaza maendeleo, blogging a others and ma beef are just not a part of it.
2)Hii blog haina disclaimer,I am responsible kwa kila linaloendelea humu,nikianzisha hayo maujinga mnayotaka incase of any lawsuit concerning defamation mtakuja kunisaidia nyinyi au mtakuwa kwenu mmelala huko me nakimbizana
3)Hamjui tu nyinyi but having this blog gives kunanipa jukumu kubwa la kuielimisha jamii,kuwahabarisha na kui entertain-isha jamii na si kuwadhalilisha wanajamii
4)Lol .....afu lingine kuna nabii huko kwenye comments,huko post za nyuma alishapata maono, mkaambiwa me ndo mbunge wenu ajaye sasa lazima ni watch my moves from now ili 2020election wapinzani wasipate weak point buree though hakusema kama nitaupata wa special seat ama wa kuchaguliwa na watu(am joking)
SO OMBI LENU LIKO REJECTED
Leo ndo nimeiona applictn ya degree ya UDSM.Hapa tu ndo unaweza ona tofauti ya "The University" na other universities.Good reasoning capacity,hakuna kuweka ujinga humu.Hakuna ku copy mtu
ReplyDeleteacheni dharau kwani udsm peke yake ndio chuo?kama hivyo vingine havi qualify kuwa vyuo si vingekuwa vimefungwa watu wengine mna boa sana kwanza hiyo UDSM siku hizi sio udsm tena watu wengi wanaingia udsm hata ambao hawakufaulu mradi tu mtu uwe na hela.M graduites wa ud hamnazo kabisa huku kazini tunafanya nae kazi mmoja yani hakuna kitu kichwani kabisa.Udsm imeshuka sana siku hizi,ya kawaida mno
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteSio 'lawsuit concerning defamation' ulitakiwa kusema 'lawsuit against defamation' .Sio necessarily uwe mwanasheria ila kama blogger,kama mwandish, unatakiwa kuwa aware na topic,context na field unazogusa.mfano unapozungumzia sheria please do apply the legal jargon appropiately sio unajiandkia andikia tu vitu mradi na wew uonekane kwa watu unajua
ReplyDelete