Huyu ni binti wa kitanzania anaetarajiwa kunyongwa Ijumaa huko Egypt baada ya kukutwa na unga.
Kuweni makini jamani nchi nyingine 'sembe law' zao ni very tight .Mh mimi kwa ninavyoogopa kufa kuliko kitu chochote hata sijui ningekuwa in her situation ningekuwa nina hali gani sasa hivi.Nadhani ningekuwa nimekufa kabla ya hiyo ijumaa kwa msongo wa mawazo.Yani naishi while absolutely sure that i will be gone by friday?????You dont have to kill me twice aisee hiyo kunitangazia death penalty tu,I am dead already.
These people are the reason hatuna watu kama akina Ngwair leo,Ray c's life is ruined na wegineo.To some point sio wa kuonewa huruma ile saaaana.However hizi nchi nyingine inabidi wafikirie ku resrutcture laws zao kuhusu swala zima la drug trafficking and abuse. Zinabidi zilegeze kidogo hukumu zao kuhusiana na sembe kwa kweli i think death penalty is just tooo harsh.Its cruel and inhuman even if they are are implemented in the name of justice.I think it something to be opposed in all cases regardless nature of the crime hata kama ni case za ma POWDEEER manake hao wala ma powdr nao hawalazimishwi kula wana make life choices zao wenyewe
msichana mdogo ila kashaanza kujihusish na maunga,kugongelea mihuri death wish ya watoto wa wenzak SIjui Kwa nin watot wa siku hzi wana tamaa sana. Ndo mana unakuta demu mdogo anaenda kulala na mwanaume mkubwa zaid hata ya
ReplyDeleteya baba ake yote tamaa.Huko Egypt kaingia choo cha kiume sasa akojoe amesimama.Chezeya waarabu wewe hawacheki na kima hapo kitanzi tu.Mshahara wa dhambi ni mauti ndo hayo sasa yamemfika
ReplyDeleteIla sisi binadamu kwa unafki huwaga tuna condemn watu kutokana na tunavofikiri what life should be like na sio according to reality ya maisha yetu.mishahara kazin haitosh mfano me Ni bank teller ofis flan mshahara laki tano net ruoghly.unadhni inanitosh?Ni vile tu sina connction ila nikipat dili navusha tu japo mara tatu nijisukume kimaish kitu gani bwana
ReplyDeleteUsiseme wana make life choices zao wewe tema mate chini juu yatakurudia
ReplyDelete