DIDA IS VEERY TROUBLESOME.......

So mimi huwa sio mzuri sana kuwajuaga hawa watangazaji wa vipindi flani flani,... i came to be aware of  Dida wa Times Fm some months ago...mtu alienijulisha kuhusu yeye alinijulisha about her blog too so nikiborekaga naingia kuchekaaa we hadi basi manake huwa ni mswahili kinoumar afu ana maneno mpaka mtu unatulia....eheehehehe....so today nimepita pita tena kwenye blog yake nikakuta one of the post ikanichekeshaje sasa!!I think its good if  I share the fun with u guys.Nime i copy and paste hiyo post kama ilivyo kule kwake.Seriously sio kuwa nam support hapana but i think its good to smile at times.Keep in mind  ana life lake matata tuuu kajipanga kimaisha sana  i hear ana mjengo wa hataree,sijawahi kuuona though,enough cash to spend na anasukuma range matata mjini.Wasomi msio na hela dida anasema kazi kwenu .So according to yeye ujanja matters mjini hapa lol


                                                           Dida ndo huyooo...kaazi kweli kweli


SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.

HIVI NI BORA KUWA NA ELIMU HALAFU KAZI HUNA VYETI KUHANGAIKA NAVYO USIKU NA MCHANA,AU BORA KUWA NA MKWANJA ELIMU HUNA NA YAKO YANAKUENDEA WASOMI WANAKUKODOLEA MACHO SAMAHANINI WALE WENYE ELIMU ZAO,NI MTAZAMO TU,SINA UGOMVI NA MTU WALA SI UNUNUI KWA BEI RAHISI NAMNA HII NAULIZA TUUU SABABU KUNA MISEMO MINGI MJINI NINALOLIULIZA LINA MAANA ,NI KAMA VILE UNAAMBIWA USILILIE UZURI LILIA BAHATI NI MTAZAMO TU MSIJISHUKU.
SI MWINGINE NI MIMI KUTESA KWA ZAMU

6 comments:

  1. mswahili wa sinza tu huyo

    ReplyDelete
  2. Elimu Ni Kwa ajili ya kukuza upeo,kujikomboa kifikra , kuchanganua mambo kulingana na situation,kusolve matatizo yanayotuzunguka accordingly bila kusahau kujitambua na kuchagua vitu vya kupost kwenye blog zenumfano angekuw anaijtambua sauntered post Hicho kitu.,kazin na hela Ni part tu ya elimu ila ukisoma elimu lazma ikutetee tu siku moja.Bado najiuliza unawezaje kupita kweny blog ya mswahili kama dida

    ReplyDelete
  3. acheni chuki binafsi nyie,hapo dida kaongea swala la maana sana,elimu zote (especially Bongo) lengo lake ni kujiguarantee kuja kupata pesa,think carefully...acheni chai hizo

    ReplyDelete
  4. dah mdau hapo juu hiv kweli unaona Dida kaongea la maana au unatania mkuu?It's sad the way u think........humjui dida vizur hizo hela yey anazipata kwa kujiuza China huko.Ukitaka kujua anaujua umuhimu wa elimu angalia wanawe kwa nini anawasomesh si awafudsh biashara tu kama shule si muhimu?afu na we Blogger usijifanye humjui dida wewe unamjua visiting sana

    ReplyDelete
  5. unamjua vizur na kipindi chake unakifatlia had maisha yake unayajua unajifanyisha uonekane huna time na watu hivyo sasa kwnye blog yake unafataga nini?

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete