So mimi huwa sio mzuri sana kuwajuaga hawa watangazaji wa vipindi flani flani,... i came to be aware of Dida wa Times Fm some months ago...mtu alienijulisha kuhusu yeye alinijulisha about her blog too so nikiborekaga naingia kuchekaaa we hadi basi manake huwa ni mswahili kinoumar afu ana maneno mpaka mtu unatulia....eheehehehe....so today nimepita pita tena kwenye blog yake nikakuta one of the post ikanichekeshaje sasa!!I think its good if I share the fun with u guys.Nime i copy and paste hiyo post kama ilivyo kule kwake.Seriously sio kuwa nam support hapana but i think its good to smile at times.Keep in mind ana life lake matata tuuu kajipanga kimaisha sana i hear ana mjengo wa hataree,sijawahi kuuona though,enough cash to spend na anasukuma range matata mjini.Wasomi msio na hela dida anasema kazi kwenu .So according to yeye ujanja matters mjini hapa lol
Dida ndo huyooo...kaazi kweli kweli
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
HIVI
NI BORA KUWA NA ELIMU HALAFU KAZI HUNA VYETI KUHANGAIKA NAVYO USIKU NA
MCHANA,AU BORA KUWA NA MKWANJA ELIMU HUNA NA YAKO YANAKUENDEA WASOMI
WANAKUKODOLEA MACHO SAMAHANINI WALE WENYE ELIMU ZAO,NI MTAZAMO TU,SINA
UGOMVI NA MTU WALA SI UNUNUI KWA BEI RAHISI NAMNA HII NAULIZA TUUU
SABABU KUNA MISEMO MINGI MJINI NINALOLIULIZA LINA MAANA ,NI KAMA VILE
UNAAMBIWA USILILIE UZURI LILIA BAHATI NI MTAZAMO TU MSIJISHUKU.
SI MWINGINE NI MIMI KUTESA KWA ZAMU
mswahili wa sinza tu huyo
ReplyDeleteElimu Ni Kwa ajili ya kukuza upeo,kujikomboa kifikra , kuchanganua mambo kulingana na situation,kusolve matatizo yanayotuzunguka accordingly bila kusahau kujitambua na kuchagua vitu vya kupost kwenye blog zenumfano angekuw anaijtambua sauntered post Hicho kitu.,kazin na hela Ni part tu ya elimu ila ukisoma elimu lazma ikutetee tu siku moja.Bado najiuliza unawezaje kupita kweny blog ya mswahili kama dida
ReplyDeleteacheni chuki binafsi nyie,hapo dida kaongea swala la maana sana,elimu zote (especially Bongo) lengo lake ni kujiguarantee kuja kupata pesa,think carefully...acheni chai hizo
ReplyDeletedah mdau hapo juu hiv kweli unaona Dida kaongea la maana au unatania mkuu?It's sad the way u think........humjui dida vizur hizo hela yey anazipata kwa kujiuza China huko.Ukitaka kujua anaujua umuhimu wa elimu angalia wanawe kwa nini anawasomesh si awafudsh biashara tu kama shule si muhimu?afu na we Blogger usijifanye humjui dida wewe unamjua visiting sana
ReplyDeleteunamjua vizur na kipindi chake unakifatlia had maisha yake unayajua unajifanyisha uonekane huna time na watu hivyo sasa kwnye blog yake unafataga nini?
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete