COMMENTING AS ANONYMOUS
Jana kuna mtu alinitumia comment ambapo alituma kwenye email yangu,na email addres yake kwa bahati mbaya.Mbaya zaidi email adress yake ilikuwa na jina so nilimjua ni nani.Worse case,ni kuwa ni mtu i know personally.i went to school with him/her at shebby. so alishushukaje.I didnt want to publish it here cause i intend kuweka my chats with my readers private.BEAUTY OF ME ATTENDING SCHOOL.!! but nilimjibu kwenye email yake back akawa ananiuliza what is it, pretending haelewi naongelea nini....so kwa kusaidia usijichanganye tena,ukiweka bad comments next time uende kwenye option ya ku comment kama anonymous ambapo hutahitaji kuweka email yakoitaweza kujua ni nani kaweka..nasema hivi because i definetly dont want to know nani ka comment vibaya coz itanisaidia na mimi mentally kutokujua ni nani likes me na nani doesnt.so bora ujifiche tu nyuma ya keyboard nisikujue.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ha ha ha.sa ukimgundua ndo utamfanya nini wewe?a comment kama anono kwani anakuogopa?kwi kwi kwi
ReplyDeletembona we mwenyewe ume comment kama anonymous kumshushua?si ungeweka jina lako basi
Deleteeti sitaki kujua nani likes me and nani does not.!unataka kusema hata na wewe una wanaokuchukia?eti umesema una maadui?eti na wewe umekuwa mange kimambi?acha ku force mambo.ila hongera viewers wanaongezeka sana
ReplyDeleteduh, yani kweli watu mna chuki. kawakosea nini sasa? acheni bifu za kijinga,kutwa kumbeba mtoto wa watu vichwani mwenu, hamfurahii maendeleo yake. mtaumia wenyewe. mwenzenu is creative and a big thinker, nyie ur after wat she produce ili mponde. hamsogei kokote na kwa taarifa yenu nyie ndo sababu ya maendeleo yenu,, coz hakuna mtu anafanikiwa without challenges and thru ur challenges she is heading to the top. big up my gal, i am so proud of u
ReplyDeleteThank You and I have a nifty proposal: Whole House Renovation Cost Calculator homes to renovate
ReplyDelete😂😂
ReplyDelete