NYAMACHOMA IN MOMBO.......

Dah i had to travel the hard way on my way to Ngorongoro  for my easter holiday.Nilipataje shida ya transport sasa manake ilibidi nisafiri mchana jumamosi after work.Kupata hilo bus la mchana sasa ndo ilikuwa issue niliunga ungaje coz i had to go by any means.The holiday was already  in my to do list.I had to sleep in mombo before catching another transport........
                                        Mchomaji mwenyew huyo. nikasema nijaribu kuomba   kupga picha nyamachoma i thought angekataa looooh alichekeleaje kupigwa picha sasa...
                                         me,myself and I
                                  ki local local zaidi lol
                                  tamujeeee sasa
                                        malizia mwenywe

2 comments:

  1. freedom of speech4 April 2013 at 09:10

    .Ukiangalia vizuri sticks za kulia ziko za watu watatu in groups of two.Sahani ndogo hivyo mnakulaje na kushiba watu watatu huo ni ubahili wa hali ya juu duuh

    ReplyDelete
  2. 'malizia mwenyewe" is sooo unproffesional.U are to write and we are to comment.Weka picha elezea mpaka mwisho.Hun narration ya kuweka chini ya picha dont keep it.Malizia mwenyewe is just another crap

    ReplyDelete