Binti mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge wa
Akiendelea
kuweka wazi kisa hicho, Flora anasema: “Nikiwa kwenye mkutano….mbunge huyo alinifuata akaniuliza nimeandika watu wangapi waliohudhuria
mkutano huo, nikamjibu 50 akaniambia niongeze idadi hiyo ili ionekane
mkutano ulikuwa na watu (Watanzania waishio Uingereza) wengi.
“Mkutano ulimalizika, sasa nilipokuwa naondoka kurudi nyumbani kwangu, mbunge huyo na wenzake nao walitoka.
Tukiwa njiani wenzake walikwenda kujisaidia haja ndogo, yeye akaniomba akajisaide nyumbani kwangu, nilimkubalia.
Alipofika
ndani, bila kujua kila kitu kinaonekana kwenye kamera alinibadilikia
kama vile adui vitani, ona sasa wema wangu ukawa umeniponza.
Alinirukia, akaniburuza hadi kitandani kwangu. Nilipokuwa mkali na kwa namna nilivyokuwa nimechanganyikiwa sishikiki ndipo akanivamia maungoni, akanichania nguo zangu akitaka nimwachie atimize lengo lake la kuniingilia kimwili kwa nguvu.
'mheshimiwa anaehusishwa na kashfa hiyo'

“Inaniuma sana, kunibaka anibake halafu atishie kuniua, unyama gani huu?”
Flora anaendelea kusema:
Flora anaendelea kusema:
Katika
purukushani hiyo, nilipopata mwanya kidogo tu, nikapiga namba ya polisi
999 kuomba msaada. Alipoona hivyo alitoka na kutokomea kusikojulikana.
Polisi walipofika hawakufanikiwa kumkamata.”
Flora alisema polisi walimchukua na kila kitu cha ushahidi zikiwemo nguo zake hadi kituoni, wakamhoji kwa kumrekodi sauti, wakampa namba ya jalada la kesi inayosomeka; 4621279/2012-UBAKAJI/KUTISHIA KUUA ambapo hadi leo mbunge huyo anasakwa na Polisi wa London, akikanyaga tu Uingereza lazima akamatwe akajibu tuhuma za ubakaji na kutishia kuua.
flora bahati lymo'fashion police'
Januari
mwaka huu nilipotaka kurudi nyumbani Kilimanjaro, mahakama ya hapa
(Uingereza) ilinipa barua ambayo nilipofika niliipeleka Kituo Kikuu cha
Polisi Moshi nikafunguliwa faili Namba Mos/RB/17127/12 kwa ajili ya
ulinzi chini ya R.C.O Ramadhan Ng’anza.
Kuna ukweli ndani yake?kuna kitu behind the scene?mimi na wewe hatujui but we hope the real culprit is going to be revealed soon.Kama ni kweli pole sana dada bahati manake navojua kwenye case hizi za ubakaji hata mtuhumiwa wako afungwe miaka 80 jela you just don't heal easily from hilo psychological jeraha alilokuachia yani wakati muhalifu wako ana spend miaka 80 jela, same to u una spend miaka 80 ya psychological suffering.Ila pamoja na watu kum judge huyu dada ni mwongo anatumwa but people should really look at it with unbiased mentality.I mean despite his political mighty,he is just a man like any other man and anything can be true,yes including kutamani na kubaka pia.
BUT if at all,this has to do with some sort of dirty politics ,then I know Godbless lema will survive this, as this is just an easter bunny compared to what he'd been through his entire life,not to mention his life of politics.......
Flora alisema polisi walimchukua na kila kitu cha ushahidi zikiwemo nguo zake hadi kituoni, wakamhoji kwa kumrekodi sauti, wakampa namba ya jalada la kesi inayosomeka; 4621279/2012-UBAKAJI/KUTISHIA KUUA ambapo hadi leo mbunge huyo anasakwa na Polisi wa London, akikanyaga tu Uingereza lazima akamatwe akajibu tuhuma za ubakaji na kutishia kuua.
flora bahati lymo'fashion police'
Flora akaongeza:
“Ukweli ni kwamba hakufanikiwa kukamatwa kwa sababu alikuwa na passport
za kidiplomasia ambazo nyingine hakutumia jina lake halisi.
“Niliwaeleza kuwa mtu anayetaka kuniua ni mbunge huyo. Kweli waliahidi
kunisaidia, nilipoondoka kurudi London niliwasiliana na polisi Kilimanjaro lakini niliona kama kuna kitu au mbunge huyo yupo juu ya sheria kwani walikana
kunifahamu.
Sitachoka kutafuta haki na kutetea wanawake wanaobakwa kila siku wanaona
aibu kusema, naamini aibu haipo kwa mbakwaji bali kwa mbakaji, yule ….
Flora allisema kama kweli mbunge huyo ni mwanaume aende tena jijini London
kama hatasimamishwa kizimbani na kuozea jela.”
kunisaidia, nilipoondoka kurudi London niliwasiliana na polisi Kilimanjaro lakini niliona kama kuna kitu au mbunge huyo yupo juu ya sheria kwani walikana
kunifahamu.
Sitachoka kutafuta haki na kutetea wanawake wanaobakwa kila siku wanaona
aibu kusema, naamini aibu haipo kwa mbakwaji bali kwa mbakaji, yule ….
Flora allisema kama kweli mbunge huyo ni mwanaume aende tena jijini London
kama hatasimamishwa kizimbani na kuozea jela.”
BUT if at all,this has to do with some sort of dirty politics ,then I know Godbless lema will survive this, as this is just an easter bunny compared to what he'd been through his entire life,not to mention his life of politics.......
No comments:
Post a Comment